Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Unaweza kupata virusi bila kujamiiyana
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 300
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kwamfano umejamiiana na mtu wiki iliyopita unatakiwa ukae kwa muda gan ili ukapime
Je baada ya kugundulika na malaria ,ukianza kutumia dozi hukiwa unaharisha kunakoma baada ya muda gani?
Mimi Nina umri wa miaka 33 ninatatizo la kutoshika ujauzito
Je, unaweza kupata mimba ukiwa haupo kwenye cku za hatari?
Nina maumivu tumbo la chini ya kuelekea upande wa kushoto ,maumivu tumbo la juu karibu na kifua ,maumivu pingili za mgongo na kiuno pia mbavu jinsi yangu ni Ke miaka 44
Toka nianze kupata hedhi yangu sijawahi pitisha mwezi sijapata lakin saiv nimeona mabadiliko sijapa hedhi yangu mwezi mmoja toka nimeingia mwezi wa pili tarehe 22 sijapata tena na pia nakuwa najisikia mchovu mwili pia kichefuchefu mara mojamoja baada ya kla chakla sijajua hii ni shida gan naomba mnisaidie