SWALI

Asante sana Mimi nimesoma kuhusu ukimwi na dadilili zake nimeziona lakini mwezi kuisha nilienda kupima nikaambiwa Sina na wakati nimepungua gafla tu


Niliona vitezi vya kwapa zote mbili na kichwa kuuma Sana na vipele sehemu za Siri

Swali No. 220


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 220 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 07-02-2023-06:11:17 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA