Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asalam aykum naomba kufahamu swala ya tahajul inasoma sura yoyote
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 727
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari za jioni mm Nina hali ambayo siilewi ninachoka muda mrefu na mapigo ya moyo yanaenda mbio yaani hata nikitembea umbali kidogo tu hoi
Habari mimi nahitaji msaada mama yangu anasumbuliwa natatizo la presha ya kupanda ametumia dawa mwaka wa tatu sasa lakini bado tatizo halipungui
Nin umri wa miaka 25 nilikua na mpenzi nimeseks mara mbili ila alivoenda kupima aligundulika mwasilika je munanisaidiaje kwa hlo Mm nilikua sjajua kama kasha athirika
Habari me nashwali kama unayo PID unaweza kupata ujauzito na ukajifungua Salam
Ok shida yangu nikwamba nasikia maumivu makali tumbo la chini na mpaka kwenye mishipa ya korodani na kwenye nyonga pia kichwa kinauma
Mm naumwa na tumbo side ya left chini kabisa Yani kunadundadunda mpka sometimes nasikia maumivu halafu nakojoa kila mara