Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Vidonda mdomon huonekana baada ya mda gani?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 217
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hbr samahi maumivu ya misuli kukazaa, kuuma sehemu ya chin ya tumbo na kiuno itakuwa shida gan hiyo
Chanzo cha presha Ni nini
Habari,naomba kuuliza je katika iyo hali ya kuwa na fangasi ukeni halafu ni mjamzito unweza kutumia dawa zakuweka ukeni kama zile tube au vidonge? Au kunanjia gani tofauti yakuzuia iyo muwasho,majimaji machafu?
Nilikuwa natumia uzazi wa mpango baada ya mwaka mmoja nikatoa na baada ya kutoa nikapata hedhi siku 5 na baada ya wiki moja nikakutana na mwanaume unaweza ukapata ujauzito?
Nina swali mutu kuwa na mate machungu ndani ya miezi 6 ni dalil yq ukimwi?
Na mimba ya Kwanza ikitoka inafaa amalize mda gani ndo ashike ingine