Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Unatoa maoni gani iwapo wanaojua watakuwa sawa na wasiojua kiutendaji
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 93
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mafunzo yapatikanayo katika vita vya tabuki
Uislamu wakati wa makhalifa ulipata changamoto nyingi sana ambazo zilipelekea kuwatia khofu waislamu wanafikiria mambo gani yaliopelekea kuondosja changamoto izo
Nina penda ni jue ni haram kula chakula kilicho nunu liwa na bwana sio mme mwezi wa Ramadan naombeni mnijulishe shekhe wangu
Katika mitume 25 walopewa ilmu na hikma ni wangapi na ni akina nani? Wabillahi taufiq
Je ukitokwa na manii baada ya kufungua kinywa Kuna batilisha funga Yako ?
ikiwa marehemu kaacha mke mmoja na watoto watano wakiume na wakike wawili hawa mgawanyo wao upo vipi