Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je inafaa kuchoma sindano wakati umo kwenye funga?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 921
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je kama mwanangu ananitolea zakat fitri na Mimi itanilazimu tena kujitolea mwenyewe?
Napenda kuuliza swali.nimambogani yanaweza yanaweza kuzuia Dua zako kwa ALLAH subahanah wataala
nauliza ya kwamba kama simfaham dua za swala za usiku nafanyaje kwani huwa naswali lakini naswali kawaida tu na hvi nimetoka kuswali.
Je damu ya vidudu vidogo vidogo ina toa udhu mfano kama damu ya mbu nk
Je vp Kwa mfano mtu katia nia yakuhij lakini kufikiya hile sku ya kuhiji akapoteza maisha je mtu huyo ataesabiwa vp
mtume Muhammad alikuw na Wake wangap?