Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Assalamualeykum. Ukiswali rakaa ya 3+ 4 unasoma sura gani baada ya AIHAMDU.
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 264
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kwanin tunasema samiaallah limanihamida hatusemi Allah akibalu
Samahn,,ati ni mwaka wa ngapi ilifaradishwa funga?
Samahan mi naomba unifundishe ukisha jifungua unaoga je?
Asalam alkum mimi nimepewa talaka tatu pasipo na shahidi yoyote je hapo talaka amenipa kwa usahihi?
Jee ukimpa mkeo talaka kwa hasira bila ushahidi yoyote yapita.
Je wakati unatubia unaomba msamaha kwa mola wako wakati upo katikati ya swala ama baada ya kumaliza