Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Sunnah na nguzo za swala zinamchangiaje kuachana na mambo machafu na maovu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 845
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalamualaikum warahmat llah wabarakat... Samahan nlikuw naswali ni ipi hukmu ya mwanamke kupaka dawa Kam pambo Kwa mme wake
nilitaka uniambie umuhimu wa kuamini qadar ktk maisha ya kila siku
Nko na swali wakat unaanza kula unatamka vip. Bismillah Rahman Rahim ama watamka Bismillah pekeake.
Mimi ni ustadh nafundish madrasa sasa nimeombwa hapa kwenda kufundisha edk secondary
Sasa mnaweza nisaidia notes lakini namna ya kuandaa majaribio
Kwanin mwanaume anaoa wanawake zaid ya mmoja Kwan uyo mmoja hamtoshi
Asalam alaykum natka kujuwa kisa Cha ngo'mbe wa baniii israil