Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Umri wng 24 me nilikuwa nataka unifahamishe jinsi ya kutumia kipimo cha upt
Angalia video hii
https://youtu.be/8xrGwloF17A
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nina Miaka 25 ni mwanaume. Tatizo langu ni kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa Hadi kupelekea kushindwa kufanya tendo lenyew hii hutokana na sehemu za Siri (korodani kuuma au kukaza) na kupelekea pia sehemu ya juu ya kupata maumivu pia na tatizo hili limenianza mwaka huu
Asante Kwa kutuelimisha juu ya ugonjwa wa u.t.i, je vyoo vya kukaa vinaweza kuambukiza u.t.i?
Naomba kuuliza me niliweza kulala na mwanamke baada ya wiki tatu nikaambiwa kuwa amethilika nilipoenda kupima nakakutwa sina maambukizi na mwezi wa tatu tena nikapima sikukutwa na maambukizi swali langu je naweza kuwa na maambukizi ama sikupata maradhi siku nilipo lala nae??
Je vidonda vya tumbo vinapona au aviponi kabisa na pia vyakula?
Ahaaa sawaa........Ila samahani Mimi niliingia kwenye siku tar 17-1... Ila siku nlomaliza nimesahau ......nkakutana na mume Wang tar 30-1 na tar 3-2...sasa ni siku gan nlipata mimba na Ina muda gan had saiv
Nina umri wa miaka 21 msichana naomb uxhaur nilitoka period siku ya 5 nikakaa siku mbili nikafanya mapenz je naeza pata miba