Pata jibu kamili kuhusu swali lako
JE kuhisi Kama miwasho au sisimizi inakutamba mwilini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 874
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habar,ivi naeza kupata mimba ikiwa natumia uzazi wa mpango njia ya kitanzi cha miaka 10?
namna ya kusafisha kizazi kwa mwanamke
Habari? Samahani naomba kuuliza swali he unaweza pata dalili za ujauzito baada tu ya siku tatu? Na je inaweza sababisha ukilala kwa mgongo tumbo liume?
utajuaje kama ni mimba mtoto wa kiume
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28.nina tatizo la kutokwa na maji mengi ukeni muda ninapojamiiana hasa pale ninapokuwa nafika kileleni.yale maji Huwa yananikosesha Raha sana maana mpaka pale nilipolala panaloana .je tatizo hili husababishwa na Nini?
Je kama umetoka kwenye siku za hedhi na hedhi hiyo ni siku tano halafu siku ya sita mtu akashiriki tendo la ndoa je mtu huyo anaweza pata ujauzito??