Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ulimi ukishambuliwa peke yake ni fangasi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 782
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Za leo mpedwa mm na tatizo la kutoshika mmb
Samah doctor nina maumivu chin yakitovu siku za nyuma nilikuwa nakojoa mkojo ambao upo cloud na nyonga inaniuma mwili unajoto kal sielew ni UTI au
Kama hali ya mkoj inasababishwa na madawa wakati mwingine je inachukua mda gani hiyo hali kukata na kurudi hali ya kawaida kukojoa mkojo mweupe tafadhali naomba ushaur doctar
Nauliza kutokww na uchafu kama usaa na unaharufu mbaya baada yakumaliza period unaakaa kama wiki alafu ile hali inapotea
Nin umri wa miaka 25 nilikua na mpenzi nimeseks mara mbili ila alivoenda kupima aligundulika mwasilika je munanisaidiaje kwa hlo Mm nilikua sjajua kama kasha athirika
nina miaka 31 ni mwanamke pia nauliza mimi ni mjamzito ila napata maumiv sana juu ya tumbo piamwili unachoka sana na najihisi vibaya wakat wote