Swali #827
22-03-2023 12:58:48
<p>Habari ya saizi,nimesoma vizr ujumbe wenu nanimeuelewa lkn mm naona dalili ya ukurutu mwilin mwangu ambao cjawah kupata toka nazaliwa yni na niliwahi kuwa napunye miaka minne iliyopita nimetumia kila dawa punye cjapona je punye Hilo inaweza ikawa dalili ya vvu?</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 827