SWALI

Toka nianze kupata hedhi yangu sijawahi pitisha mwezi sijapata lakin saiv nimeona mabadiliko sijapa hedhi yangu mwezi mmoja  toka nimeingia mwezi wa pili tarehe 22 sijapata tena na pia nakuwa najisikia mchovu mwili pia kichefuchefu mara mojamoja  baada ya kla chakla sijajua hii ni shida gan naomba mnisaidie

Swali No. 951


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 951 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 31-03-2023-07:38:26 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA