Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nina swali mutu kuwa na mate machungu ndani ya miezi 6 ni dalil yq ukimwi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 641
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kinga ya mwili hupatikana vipi?
Habari napenda kujua kuhusu dawa za pressure
Samahani tarehe 11 mwenz 12 nili toka na damu nyeusi sana na damu mabonge mabonge zili toka siku tatu zikakata nikaja tena kutoka na damu tarehe 8 ya mwenz wa kwanza zili toka siku tano
Sasa Jana tena damu hime aza kutoka tena tatizo nini naomba nisaidie na nina taka mtoto
Nauliz ety ukifanya tendo siku ya kwanz ya siku zako kunauwezekan kuwa unawez pata mimba
Swali langu ni nimepata changamoto ya jicho. Nilijipiga na mnati kwenye jicho na jicho limekuwa jekundu
Hellooo! Ndugu najihisi kuwa mpweke sana, kwani Huwa nahisi mm ni mgongwa wa ukimwi, lakini nikienda kupima naambiwa sio mgongwa, lakini dalili nationa kama ni kweli mm ni mgojwa, kwani afya niliyonayo Si sawa na afya yangu kabla ya miaka mitatu iliyopita, nifanyeje ndugu, naomba ushauri!