Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je!mtu mwenye ameathitika unaweza kulala nae
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 425
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm Nipo znzbr ila Nina ttz Nilienda spitali kuchangia damu wakapima saizi ya damu yngu ni 15 nikatolewa damu ila baad ya kutolewa damu Kuna Hali imenijia nahisi mwili unakua ni mchovu sana na unakua na unaunguza sana na unakua unauma sna
Vipi boga kuhusiana na mgonjwa was sukari
Habari nina tatizo la kiungulia
Mke wangu anatokwa na vitu vyeuope ukeni na me nipo mbali nae Sana nahitaji msaada wenu
Mimi baada ya kufanya mapenz na mwanamke anayesemekena ana ukimwi baada ya wiki 2 nilienda kupima na sikukutwa na maambukizi ya ukimwi lakini saivi nasikia maumivu ya misuli hasa kwenye goti la kushoto
Habari zauzima waheshimiwa Mimi swali langu nikuhusu dawa na matibabu ya sekoseri napenda kufaham, kujua na kuweza kusaidia Jami yangu uliyo nizunguka na taifa kiujumla