Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Swallat tahajjud ina rakaa ngapi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 853
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomba unifundishe namna ya kusimamisha sala ya tarawehe na witir
Samahani sheikh wangu nilikuw naomba kujua swalat haja huwa inaswaliwa wkt gani na ina rakaa Ngap?
Assalaam alayka je' kwa yule ambaye anakipato cha chini anapaswa atoe zaka kiasi gani na kwa kipindi gan?
Kuna baadhi ya watu wanasema qur-an ni kiumbee na wengine wanasema cyo kiumbee ni upii usahihi
Assalam alaykum shekhe Nina swali" Zaka ya wanyama inakuwa Kila kweñye ng'ommbe wangapi mtu anapaswa kutoa Zaka?
Je najisi ya mbwa kukuramba inaenea? Kwa mfano akakulamba ww kwenye mkono halafu wewe ukaja kunisalmia mimi nikakushika sehem ileile alokulamba mbwa