Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba kuuliza zipi sababu zilipelekea kuanguka dola ya kiislam
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 711
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Assalamualeykum. Ukiswali rakaa ya 3+ 4 unasoma sura gani baada ya AIHAMDU.
Mwanamke anapotalikiwa yapaswa kwake kufanya nini na kutofanya nini
lengo la qur-an ni lipi?
Je inaruhusiwaa kuswali ikiwa kuna baadhi ya dua ambazo yapaswa kuzitumia ndani ya swala na haujazikaririi vizurii
je kuna hukumu ukifunga siku ya kufungua sita?
Assallam Allykum, sorry Kuna Wana ndoa waligombana na katika huo ugomvi mume akamtamkia mkewe kuanzia Leo sio mke wangu Kwa talaka Moja, alaf hata nusu saa haikufika mume akaomba radhi Kwa mkewe na kufanya tendo la ndoa Kwa madai ya kutengua talaka je, mume yupo sahihi kweli ktk hili?!