Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba Dua za kusoma wakati wa funga
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 910
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu vp Hali zenu mimi nilikuwa nahitaji kitabu sijajua kinaitwaje ila hicho kitabu kina mal islam kina nguzo za uislamu kina nguzo za lmani
Swali juu ya swala ya tarawh unaweza kuswal baada tu ya insha
Toa hoja nane za kuonyesha jinsi Mtume alivyo andaliwa ki ilham na kimafunzo .
Mm na tanataka kujenga nyumba kama ya mtume Muhammad swalallahu aley wasalam ❤️. Je nitapataje ramani ya nyumba ya mtume Muhammad swalallahu aley wasalam
Asalam alaikum naomba darasa fupi aina za najisi,makundi yake pamoja na tohara zake
Je kuswali Hali ya kuwa nguo imevuka ugoko ni saw