Swali #597
03-03-2023 11:51:09
<p>Asalam ALEYKUM,,,Ninahoji kitu ki1" " ktk mawaidha flani ,shekh alitoa namna ya kuoga,(Janabah) shekh asema nivizuri ukaanza na kutawadha kwanza ndipo uonge,,Sasa iweje nianze na kutawadha Ndipo nioge,AMA kuna namna sijamwelewa,kwasbb sasa kila 1 awa Mtoa mawaidha kadri anavyojua yeye, asante,,Asalam</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 597