Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Side effects za kula ukwaju ni zipi..?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 518
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nimekosa hedhi yangu mwezi w tatu hadi sasa sijauwona nilipimaa mwezi huuu sijaona mimba na maumivu ya tumbo nayasikiaa na sijawahi kufanya bila kinga
Nasikia kukosa nguvu na. Mikono kuishiwa nguvu pia vidole kufa ganzi naema pia kwa nguvu sana
Je mgonjwa akiwa anajisaidia haja kubwa inayoambatana na damu damu, inamaanisha ni sugu au vp
Ikiwa mtu amevunjika mkono amewekwa muohogo pindi akitaka kuchukua udhu inakuaje
Na je Kuna complication gan anazopata mtyu akitoa ujauzito wa wiki mbili
Naomba unisaidie nashida moja kweny koo nikila pipi au k2 chochote chenye sukar naskia kooo linakaauka itakuwa ni shida ya nn