SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #247 09-02-2023 16:11:46

<p>Habar , samahani nimesoma makala yako ya ugonjwa wa fangasi wa mdomoni na ulimi , kijana wangu namwona anamadoa mekundu kwenye ulimi kama vibalango lakini vidonda hivyo haviumi, dalili hii sikuiona kwenye baadhi ya dalili ukizozitaja, hii nayo ikoje</p>

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.

Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 247

MASWALI YANAYOFANANA