Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nsikia upande wangu wa kushoto kwenye kifua kunawaka moto Sana?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1249
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nimesoma makala Yako kuhusu dalili za ukimwi ,nahitaji kujua ni Kwa muda gani mtu atachukua virusi kuonekana kwenye vipimo anapoambukizwa
Asalam aykum naomba kufahamu swala ya tahajul inasoma sura yoyote
Hello habari za kazi samahani naomba kuuliza je mtoto akizaliwa na tatizo la tundu kwenye moyo Kuna uwezekanao akawa mlemavu WA viungo?
Samahani nikisha jihisi kuwa ninamimba changa je naweza kutumia dawa ya kuzuia kuharisha plees naomba kujuwa
Swali langu ni, ovarian cyst ya cm10 inaweza kupona kwa dawa au ni lazima operation, kama inaweza kupona kwa dawa bac naomba kujua ni dawa gani inaweza kutibu,
Niliwahi kufanyiwa operation ya ectopic pregnancy na nikakatwa mrija 1 wa uzazi hapa nna mrija 1 tu wa uzazi ingawa nilibahatika kuzaa mtt1 kwa njia ya kawaida namshkuru Sana mungu nataman kuzaa Tena ila sishiki mimba sijui kwa nn