Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ni kweli hiyo ni dalili ya tangazo. Kama upo karibu na duka ka dawa fika mwambie akuoatie anti fungi lotion yaani zile dawa za fangasi za kupakaa.
Kama kunatokea uchafu mueleze zipo sawa za kuingiza anaweza kukupatia. Hata hivyo ni vyema zaidi kufika Kituo cha Afya kwa matibabu ya uhakika.
Kuhusu uke kiwa mkavu, Tunu kwanza fangasi. Kisha ukiona na tatizo likiwa endelevu muone daktari huwenda akakuoatia dawa za homoni.