Swali #1092
21-04-2023 09:02:25
<p>samahan mm Kuna mda naweza kua natembea mala gafla nachomwa na kitu kiunoni uku kinashuka kidogo kwenye paja apo mguu hauwezi kukanyaga Tena mpaka nisimame Kama dak 3 ndo niendelee na safal,je ilo ni tatizo gani,na linaweza badae kuleta hathar gani ktk mwili wangu na naweza kufanya nini? ili kuondoa ili tatizo.</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1092