Swali #889
26-03-2023 04:19:59
<p>nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini kushoto wa tumbo yanayopelekea nahisi kama mmeng'enyo na kuwaka moto sana .</p>
<p>Vilevile Katika UKE natokwa na majimaji yenye harufu mbaya na ute wa rangi ya njano maziwa hv.</p>
<p>Sijajua tatizo ni Nini haswa na nawezaje kupata matibabu ya matatizo haya , nikapona kabisaa</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 889