Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Sababu yamapigo ya mtoto kupungua kwamimba ya miezi Tisa nini?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 542
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Niko na ujauzito miez 3 ,nasumbuliwa na fungus sijui italeta madhara Kwa mtoto ,pia nimetumia dawa Sion mabadiliko
Sawa,mbegu zangu hutoka nyepesi sana baada ya tendo zinatoka,je Naweza kuwa na tatizo ? na je unazo dawa za kuboresha ?
samahan mie nahisi kiuno kinauma kwa mda kinaacha pamoja na tumbo linakuwa linauma naenda kuharisha ninawiki 34 nasiku2
Mm naisi kizunguzungu nasaidiwaje japo nimefanya udma ya kwanza na aijanisaidia
Namaswali machache Kuhusiana kushik mimba. Mimi niliingia period tarehe 4 mwez uliopita yaan December, n mwez wa11 pia niliingia hedhi tarehe 4. So maximum kua siku ya hatr n siku ya10 c ndio ambay n tareh13 na nimekutan n mmewangu siku za hatr kimwili, leo nimepima mimba Ila kimekuj kimstari kimoja, inamaanisha sina mimba au nimewahi kupima ujauzito?
Kama tumbo linaunguruma tu je