Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ninashid ya kuumwa na tumbo upand wa Julia Kwa chin tatiz ni nin
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 316
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
abali zamajukum kwann mungongo wang unauma alaf natumbo pia linauma linaka napia najisikia njaa mala kwamala et
Je? Ikiwa n ujauzito matone ya dam hutoka kwa siku ngap?
Habari naomba ushauri nasumbuliwa Sana mwili unaniuma kweli napata joto mwilini kari sana na Koo lote linauna nitumie dawa gani
Jamn samahan......nataka kujuaa kuwaa kutoa mimbaa na majani ya chai n kwel ???
Mimi ni msichana wa umri wa miaka 25, nimeingia kwenye hedhi mara ya mwisho tarehe 15 mwezi wa 3, nilibadilisha mazingira na kwenda mkoani kwenye wiki hiyo ya hedhi na nilivyorudi nikakutana na mwanaume siku ambayo kwenye mzunguko ilikuwa salama. Hedhi ya mwezi wa 4 imechelewa imeanza wiki ya 3 sasa, nimepima kwa UPT imeonyesha positive. Je inawezekana kuwa nilikutana na mwanajme siku ya hatari kwamba mzunguko ulibadilika au vipi !!?
Na swali juu ya kujuwa mke wng naweza anaweza kujuwa km ameshika mimba baada ya siku ngap baada ya tendo