Pata jibu kamili kuhusu swali lako
naomba tiba ya kutokwa harufu mbaya mdomoni
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 141
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Namaswali machache Kuhusiana kushik mimba. Mimi niliingia period tarehe 4 mwez uliopita yaan December, n mwez wa11 pia niliingia hedhi tarehe 4. So maximum kua siku ya hatr n siku ya10 c ndio ambay n tareh13 na nimekutan n mmewangu siku za hatr kimwili, leo nimepima mimba Ila kimekuj kimstari kimoja, inamaanisha sina mimba au nimewahi kupima ujauzito?
Na je Kuna complication gan anazopata mtyu akitoa ujauzito wa wiki mbili
Sawa ila mi natakakujua je hivi vipimo vya hospitali za selikali uwonesha majibu mudagani baada ya mutu kuasilika?
Balango nayo ni dalili ya ukimwi
Mm ni binti mwenye miaka 20 mara ya mwisho kupata hedhi ilikuwa tereh 5/2 ila mpka leo tareh 8 cjaon chcht na leo asubuh nmepima upt ni negative naomba ushaur jaman cjui nifany nn
Samahan naomba kuuliza je Romanc yaani Denda linaambukiza Vvu?