Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ninammba ila damu inatoka unanisaidiej
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1067
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm kuna dalili sizielewi na ninajisikia kichefuchefu mate kujaa mdomon napia naumwa kichwa bado sija elewa dalili hizi kiukweri naomba msaada
Kaka mm nimewahi kupata ajali nikabamiza kichwa nikawahi kupona lakini nilivy pona mdomo ukaanza kupasuka mwaka umefika tangu nipate ajali hiyo nilitokwa na damu nyingi sana nikapugua uzito
Nimetumia dawa mefloquine Leo siku ya 5 naona mwili unapata joto nakichwa kuuma.nn sababu
Je,mtu akiwa ameasirika alafu akameza dawa je majibu yatato vp??
Naomba nisaidie kujua kama kuna madhara ya kutumia tangawizi kwa mtu mwenye vidonda vimsvyoanza
Kwahyo viupele vya rangi nyeupe na rangi ya dhambalau haiwez kuwa dalili ya ukimwi?