Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Mimi ni muhanga wa uvimbe kwenye titi na ninanyonyesha
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 354
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahani mimi nasumbuliwa na kichwa hasa Nikiwa na mawazo, nakosa hamu ya kula , nahisi baridi samahani zinaweza kuwa dalili za nini
Swali langu nikwamba baada ya kufanya mapenz baada ya siku 1. Au 2. Mwanamke anaweza. Kuwa na dalili za ujauzito?
Asante sana kwa maelekezo mazuri ntaendelea kuwafatilia nmejua Mambo mengi sana nami nkiwa mhanga wa tatizo hili
Za jioni mimba ya wiki 3 ikitoka inakuaje
Habari samahani mm mjamzito wa wiki 36 ila sasa nmeanza kuona uke wangu umekuwa wa maji maji na kiuno kinauma sn je ni moja wap ya dalili za uchungu?
Samaan me nimjazito miez tisa ss Ila ikifika usiku napata maumivu makali yatumbo na kiuno