Pata jibu kamili kuhusu swali lako
ninapresha ya kushuka je inasababisha kooni kubana
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1090
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mm nimedunga sindano tarehe tano za mwezi wa kwanza n'a mpaka sasa sijaona siku zangu ila nabaki nasikia maumivu chini ya kitovu kwa mbali n'a nimefanya tendo la ndowa siku iliofuata tarehe 6 je naweza kupata mimba?
Nataka kujua dawa na matibabu ya gonoria
Tarehe 25 mwezi uliopita hedhi yangu ilianza na siku ya tatu nikafanya tendo LA ndoa sasa inaeza kua nilipata ujauzito hau LA kwa sababu naumwa na mgongo na pia matiti zinauma na matiti zenyewe zimebadilika , sasa Jana nikaenda hoc nikapimwa nikaambiwa Sina ujauzito ,sasa tafadhali naomba mnisaidie
Mimi nna tatizo la Ngozi kuwasha na nnapojikuna mahali panapo washa Panatoka uvimbe mdogo mdgo Kisha baada ya Muda mfupi kupotea Nazo Ni dalili za minyoo!?
Hellooo! Ndugu najihisi kuwa mpweke sana, kwani Huwa nahisi mm ni mgongwa wa ukimwi, lakini nikienda kupima naambiwa sio mgongwa, lakini dalili nationa kama ni kweli mm ni mgojwa, kwani afya niliyonayo Si sawa na afya yangu kabla ya miaka mitatu iliyopita, nifanyeje ndugu, naomba ushauri!
Je,mtu akiwa ameasirika alafu akameza dawa je majibu yatato vp??