Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habari mi nnatatizo la presha naitaji msaada wako
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 948
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nataka kujua ipo tiba ya uvimbe kwenye. Kibofu?
Samahan mm napata maumivu baada ya kumarza tendo randoa shda inakuwa nn hasa pia ume wangu unasima kidogo unakuwa meregea hauwi mgum ashda nn hasa
Nina mimba afu natokwa na damu na kiuno kinauma sana
Samahani Mimi Toka juzi Kuna Hali naiyona tumbo linanium alafu cpati amu ya kula kabisa nikila natapika itakuwa ni Nini naomba nisaidie na chuchu zinauma na kuwasha sana
Habar mimi nina tatizo lamifupa ilaninakunywa juice ya Bamia kila siku katakata bamia ninaliloeka kwenye Maji baada ya masa’s kumi Ni nafanya sawa au nakosea naomba muongozo
Niliharibikiwa na ujauzito wa week 7 kutokana na kuumwa ambapo nikatumia dawa ambazo sikujua kama Zina effects za kuharibu mimba so nikasafishwa kizazi nikapewa na dawa nikarudi KATIKA Hali yangu kawaida Lakini Leo ni kama siku ya tatu ninahisi maumivu Kwa mbali hasa chini ya kitovu upande wa kushoto au hta nikibinyabinya hiyo sehemu na mkono JE MAUMIVU HAYO YANASABABISHWA NA NINI ?