SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #448 22-02-2023 15:01:15

<p>Mm nimjamzito wa miezi 6 kasoro lakini ninaahida napata maumivu ya nyonga,kiuno na uke unakuwa unavuta na maumivu</p>

JIBU

Nyonga kwa mjamzito ni kawaida kuuma. Hata hivyo kama inauma sana vyema. Kumuona daktari

 

Maumivu ya nyonga hutokana na mwili kutanua nyonga kwa ajili ya kujiandaa kuoitisha mtoto. Hivyo katika hali. Za kawaida kwa mjamzito sio tatizo.

MASWALI YANAYOFANANA