SWALI

Samahan naomba kuuliza mimi huwa kabla ya hedhi napata maumivu ya tumbo maumivu hayo yanaweza kuwa ya siku moja Ila siku ambayo hedhi itatoka napata maumivu makali mno na maumivu hayo yatadumu Hadi hedhi ikate na inapelekea mguu wa kushoto kuwa kama unakufa gannzi.naomba nisaidie ni nini hiki?

Swali No. 1089


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1089 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 21-04-2023-05:01:59 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA