Pata jibu kamili kuhusu swali lako
fangasi inayoweza kutibika iwe imedumu kwa muda gani ?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 791
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ahaaa sawaa........Ila samahani Mimi niliingia kwenye siku tar 17-1... Ila siku nlomaliza nimesahau ......nkakutana na mume Wang tar 30-1 na tar 3-2...sasa ni siku gan nlipata mimba na Ina muda gan had saiv
Pia Kuna uwezekano mwanamke kua na ujauzito pasipo discharge yaani kutokwa na damu
Mm ninamavu ya tumbo upande wa kushoto maumivu makali sana nimefanya exry amna shida extsaond amna kitu sijui shida nn
Sawa naomba mnisaidie kunijibu maana namgojwa wa Hilo tatizo harafu hapati choo kubwa Leonisiku ya tatu
Naomba kuuliza mwezi wa 2 trh 14 nili sex na mtu mwenye ukimwi trh 15 nikaenda hospital nikapewa pepu nimetumia pepu na Leo ni siku ya mwisho nimalize dozi ila toka juzi Kuna dalili zinajitokeza Kama homa kichwa kuuma maumivu kwenye Koo samahani naweza nikawa nimeasilika
inawezekana kutibiwa ukimwi kama umegundua umeambukizwa masaa machache yaliyopita