Pata jibu kamili kuhusu swali lako
nilitaka uniambie umuhimu wa kuamini qadar ktk maisha ya kila siku
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 35
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
je ni ipi hukumu ya mke alietamkiwa na mume wake kuwa akifanya tendo na m/me mwengine ndio talaka yake na mke akafanya zaidi ya mara tatu?
Nataka kujua nini mtazamo wa kikafiri juu ya dini
Asalam alaykum naomba kuuliza ya'juj na mu'juj ni viumbe gan
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Mimi nna suali kuna mtu kafa alizaa mtoto mmoja mtoto wa kiume kafa kabla ya mama . Baadae mama kafa hana mtoto mwengine ila kuna wajukuu wa mtoto wake huyo mmoja wa kiume aliyekufa na pia kuna dada yake baba mmoja hao tuu ndio waliomzunguka wakaribu wengine ni watoto wa dada zake jee mirathi hapo inakuaje?
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatu.
Samahani naomba kufahamu kwa mwanamume alie muacha mkewe kwa talaka tatu nikipi kifannyike ama taratibu gani zinapashwa zichukuliwe ili mwanamume huyo aweze kuishi tena kihalali na alie kua mkewe.
Assalamu alaikum je mwanamke kadai talaka naakainunua baadae akataka kurewa je rejea ipo nakama ipo kuhusu mahari je