Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ni zipi ishara zilizomo katika nafsi ya mwanadam
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 45
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naam swali langu nihili Ili ionekane kama umezini nidalili zipi zinakujuza kama umezini?
Je khalifa Abubakar alitawafu vipi?
nataka kujifunza jinsi ya kuswali na je? rukuu nini
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Mimi nna suali kuna mtu kafa alizaa mtoto mmoja mtoto wa kiume kafa kabla ya mama . Baadae mama kafa hana mtoto mwengine ila kuna wajukuu wa mtoto wake huyo mmoja wa kiume aliyekufa na pia kuna dada yake baba mmoja hao tuu ndio waliomzunguka wakaribu wengine ni watoto wa dada zake jee mirathi hapo inakuaje?
Ooh! Me bado mwanafunzi naomba kujua hatua ya kwanza nikifika kwenye nyumba ya Ibada
Hmn yurad unao somwa baada ya kusha sali hzo rakaa mbili na kutoa salamu