SWALI

Assalaam a'laykum warahmatullahi wabarakaatuh! Shaykh mimi nauliza kuwa mke wangu ananiudhi kwa kuwasiliana na wanaume ambao sio mahrim zake na nikimgomea husema hawezi kuacha kuwasiliana nao hata nikimpa nasaha. Naomba nasaha nifanyeje maana nimefikisha kesi hadi kwa wazazi wake ila bado ananiambia kuwa Mimi nimemuowa yeye ila simu yake hainihusu.

Swali No. 256


JIBU
Samahani Jbu la swali hili Limehifadhiwa. Nicheki Whats App upte majibu ya swali hili.
Nicheki WhatsApp Bofya hapa(Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 256 )

Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 10-02-2023-04:41:52 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA