Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ni vyakula gani vinasaidia kuongeza madini mwilini?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 724
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nin umri wa miaka 25 nilikua na mpenzi nimeseks mara mbili ila alivoenda kupima aligundulika mwasilika je munanisaidiaje kwa hlo Mm nilikua sjajua kama kasha athirika
Swali languu mm nasumbuliwa na kukojoa mkojoo wanjano sio kawaida Ila Sina maumivuu yyote yanayonisumbuua
Kuna dawa gani ya asili ambayo mtu anaweza tumia akapona fangas vzr?
Kwanini huruhusiwi kutumia mafuta Kwenye kidonda ulichoungua na maji ya moto
Me sahv nina miezi miwili na week 2 toka nijifunguwe mwishonib mwa mwez wa tatu nilikutan kimwil na mume wangu nilimeza kun dawa nilipew ya uzaz wa mpengo ni nyeupe niliambiw nimeze kil cku nilimeza zile cku tu nilizokutan na mume wangu tarh 10 mwez huu niliingia period na ilitoka kwa cku mmoja tu na sijasex tena toka cku nilivyoblleed je kuna uwezekano wa kuwa na mimba???
fangasi inayoweza kutibika iwe imedumu kwa muda gani ?