SWALI:
Nataka kufahamu vitabu vya mungu vipo vingapi
Swali No. 612
JIBU
Vilivyotajwa kwenye quran ni vinne
1. Zaburi
2. Tawrat
3. Injili
4. Quran
Hata hivyo vipo vingi. Karibia kila Mtume alipewa chake.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 05-03-2023-04:44:04 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp