Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asalaam aleykum naomba kuuliza mama yake marimu anaitwa nani?
Mariam alikuwa ni mtoto wa Imrani na mama yake aliitwa Hannah
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Samahan mi naomba unifundishe ukisha jifungua unaoga je?
mimi muisilamu hila akuna ninacho kijua msaada wenu nataka kitabu cha kiswahili nijifunze km itawekana
Naam swali langu nihili Ili ionekane kama umezini nidalili zipi zinakujuza kama umezini?
samahani mimi nilikuwa mkirst nimeslm kuwa muisalm nimeolewa je nahitaji kujuwa kila swal inalaaka ngap samahani
Assalamu 'alaikum warahmatullah wabarakatuh. Na swal. Je, inaswihi kwa muislamu kuswali juu ya kaburi kwa lengo la kumuuombea maiti iliyomo ndani ya hilo kaburi
Je mwezi mtukufu wa Ramadhani umekalibia je kama ukiwa umefunga afu bado upo unafanya kazi iyo ya riba je funga itakuwa salama