Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kuitikia salamu ni faradh ain au kifaya?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 644
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
a.alyeikum swali langu ni kuhusu mirathi mume amekufa ameacha watoto 5 wa kiume na watoto 5 wa kike na ana wake 2 na wazazi wake wote wa mume wameshafariki mgawanyo ukoje?
Naomba kuuliza,, mwanamke akitolewa barua ya posa na maari na mwanaume ambae siyo muislam na amemzalisha watoto,akitokea mwanaume wa kiislam akihitaji kumuoa kisheria kidini ya kiislam, je.utaratibu ukoje?
Asalam aleykum shekhe,mgawanyo wa elim dunia na elim akhera haukubalik kwa sababu zipi zingine
Aslm alkm.Ni mitume gani walikuwa ni waarabu Kuna ambao ni wa Israel na waarabu
Aslm alykum naombakuuliza,Kam mine ana wake 2 ikitokea mwenyezamu hayupo keep mine anahaki ya kulala kwa Yule asiyekua zamu yake
Je Quran ina sura ngapo?