Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nasumbuliwa na acid tumboni inawezakuwa sababu ya mm kutoshika ujauzito??
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 554
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mama mjamzito akishajifungua hurudi katika hali ya kawaida
Nina umr wa miak 26 jinsia yangu y kiume swar langu nilikuwa natak kufaamu mpez wangu Kila nkimwnglia anais maumvu kwenye uke wake mpak nampelekea kumchubua
Hello habari za kazi samahani naomba kuuliza je mtoto akizaliwa na tatizo la tundu kwenye moyo Kuna uwezekanao akawa mlemavu WA viungo?
Ninasuali unaweza ukawa umepitiliza siku zako kwamuda wa siku 11 na ukapima ujauzito usioneshe je unaweza ukawa ni mjamzito naomba kujua
Na mtu ambae anatumia ARV kumuambukiza ambae Hana uwa aiwezekani
Kuna mwanamke nimetembea nae na inasadikiwa ameathirika na ukimwi. Sasa niliposoma kwenye makala yako pale google ukielezea dalili za hawali sijaziona na nilitembea nae mara 2 na ni mwezi 11 mwishoni