Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hivi kutokwa na maji maji kwenye uume ni tatizo gan
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 956
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Meingia kwenye period tarehe 10 nikakutana na mwanaume tarehe 22 p2nilimeza kesho yake jioni je naweza para mimba
Mm natokwa na uchafu mweupe mzito nasijisi km Nina mimba shida itakuwa Nini daktari
Shida yangu mikono inalegea na kukosa nguvu pia kufa ganzi na halafu miguu pia inakosa nguvu na maumivu ya mwili wote hasa kifuani
Abar jaman kunaswali nataka kuuliza eti kama mjamzito yupo mwishoni dalili jingine inaweza ikawa anatoa damu ile ya mwanzo ya kwenye siku ile ya damu ya mzee kama nyeusi ivi naomba jib jaman
Nimesoma makala Yako kuhusu dalili za ukimwi ,nahitaji kujua ni Kwa muda gani mtu atachukua virusi kuonekana kwenye vipimo anapoambukizwa
Je kama tumbo lipo kama linavuruga chin ya kitovu hiyo pia ni dalili ya mimba changa?