Swali #318
15-02-2023 07:18:03
<p>Sheikh nina swali langu kidogo nataka kuliza<br />
Kabla ya kunirudia ile talaka ya pili akaniandikia kwenye simu ya 3 je itakua zimesha malizika zote 3<br />
Mume wangu aliniacha talaka moja alafu aka nirejea tukakaa baada ya kipindi kdg akaja kuniacha talaka ya 2 akanirejesha kwetu</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 318