Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwanin tunasema samiaallah limanihamida hatusemi Allah akibalu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 288
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
As salaam alaykum warahmatullaahi wabarakaatuh. Tukio la mwanzo la kuvunjwa Al qaaba lilikuaa mwaka gani?
Kijiji chao nabii ibrahim kinaitwaje..? Na kilikua kikaliwa na watu gani.?
Je Nipo na mwanmke ndani Ambae Sijafunga nae ndoa na tunalala nae kitanda kimoja je zambi ya uzinzi ni mpaka mshiriki tendo
Mm naomba kuuliza,. Ni kijana gani alieaminiwa na bwana Abu Talib ambae aliemkabidhi mtume s.w.a amrudishe Makka?
Naomb kuuliza ukiswali witri katika baada ya ishaa vipi unaruhusiwa kuamka usik kwa ajili ya sunna nyingne
mke aliejifungua au kuharibu mimba kabla ya kuoga nifasi akapewa talaka na mumewe je mwanamke huyu anapaswa kukaa eda?