Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Muda gani mzuri wa kumeza dawa za arv
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 472
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
kuna ukweli gani kuwa mtu mwenye damu yenye wesi sana anaweza kuwa na maambukizi ya VVU?
Nauliza Mimi nipo Zambia Kwa jina naitwa Kennedy kama umeathilika vipimo vinauwezo wa kusoma negative miezi sita
Nanamiaka23 ninamtoto wa mwaka sasa na ilinianza hiii Hali nikiwa na miez minne mwaka Jana titi lilikua limejaa Sana maziwa na maumivu Hadi nikawa nashidwa kumnyonyesha mtoto baada ya maumivu kupungua ndo uvimbe nikawa naugusa mpaka sasaiv
Hello. Habari mm naumwa fungus nikijikuna napata maumivu sana. Na nimechubuka kwenye mashavu ya uke na nimetumia dawa CANI_MAKS lkn naona hainisaidii chochote je nitumie njia gani ya asili au dawa gani nipone?
Hv ukiwa unatumia dawa ya salbuta inaweza sababisha milio sikioni
Doctor me nonaomba ushauri maziwa yangu laini sana afu napata kizunguzungu na kuumwa na tumbo chino ya kitovu na mkojo wangu una rangi nyekundu shida nn