Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Dawa inayo zuia chango linalo toa mimba ni nini?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 59
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ninasiku kama yatatu kichwa kinauma nakinapoa bado sijui nikitu gani naomba msaada
Kaka yangu ikifika mchana yaani saa sita anaanza kuona kizunguzungu ana kaa chini au sehemu ya kivuli ndoo inapoa sasa nini matibabu yake
Mala nyingi huhisi maumivu chini ya kitovu kiuno mgongo huhisi baridi na maumivu makali mweli mzima pale Ninapo kua namkojo au au njoo kikubwa huhisi maumivu kwenye mwili au baridi Kali kukosa hamu ya kula naomba ushauli wenu na jinsi ya kutibiwa kwani nateseka hata hamu ya mahusiano me Sina kabisa
Sababu yamapigo ya mtoto kupungua kwamimba ya miezi Tisa nini?
Kwa mfano huwa naingia tarehe 26 naingia ck tano than Nika sex tarehe 22 kunauwezekano wa kupata mimba
Hi Nauliza mke wangu alitokwa na ujauzito mwezi was kumi mwaka Jana mpaka sai haja shika ingine shida inaweza kua nini