Swali #608
05-03-2023 04:28:08
<p>Habari ndugu yangu, mimi nimesoma kuhusu HIV, Ila nimepima mwezi wa November kwa kweli nilikua sawa lakini kufika mwenzi wa kwaza na wapili hadi watatu kunabiti nilifanyanae mapenzi bila kupima, kweli kwa sasa dalili nyingi nimesoma hapo kwa kweli nimeaza kuisi nikama nimeazirika namagonjwa ya zina, ila naogopa sana kwenda kupima</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 608