Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Moyo kuuma na kutoka jasho jingi nn shida
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 25
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Tarehe 25 mwezi uliopita hedhi yangu ilianza na siku ya tatu nikafanya tendo LA ndoa sasa inaeza kua nilipata ujauzito hau LA kwa sababu naumwa na mgongo na pia matiti zinauma na matiti zenyewe zimebadilika , sasa Jana nikaenda hoc nikapimwa nikaambiwa Sina ujauzito ,sasa tafadhali naomba mnisaidie
Mie sijapima Kama Nina mimba lakini nina week moja sasa sipo kawaida nikiamka asubuhi najisikia Kama kichefuchefu lakini sitapiki nahisi natumbo Kama linajaa gas
Je kipimo cha mkojo huonyexha mimb ikiwa na mda gan
Ivi mtu mwenye ukimwi anaweza akatokwa na vidonda vya homa ya usiku?? Vinavytoka pembeni ya mdomo kama vipele
Baada ya mtu kuasilika anashauliwa mudagani iliaanze tiba ?
Je ukijitwaharisha usiku alaf uamke kuswali asubuh utoke na vitone vya damu je inaswihi kuswali au hadi ujitwaharishe upya?